Msanii wa muziki Madee Ally ameshambuliwa na mashabiki kupitia mitandao
ya kijamii baada ya kuonyesha hakupendezwa na kitendo cha Snura kushangilia wimbo wake ‘Chura’ kuimbwa na mtayarishaji wa muziki na msanii wa Nigeria Jon Jazzy kupitia mtandao wa Instagram.